Thursday, August 2, 2012

MAHAKAMA KUU YAZUIA MGOMO WA WALIMU WASITISHWA RASMI.

mahakama kuu kitengo ja kazi imeubatilisha mgomo wa walimu uliokuwa ukiendelea kwa maelezo kuwa tangazo lao la saa 48 halikuwa halali kwani tangazo hilo halikuzingatia siku za kazi.
hukumu hiyo imesomwa leo mapema mahakamani hapo.
wakili wa chama cha walimu amekubaliana na uamuzi huo na kusema yeye na wateja wake walikiuka taratibu.
kwa hukumu hiyo CWT imetakiwa kuwatangazia wake kurudi kazini na kuendelea na kazi haraka iwezekanavyo na kufidia hasara zote walizoziingiza.

No comments:

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...