Thursday, August 2, 2012

THIERRY HENRY, ANELKA, NASRI, RIBERRY, MESUT OZIL, NA WACHEZAJI WENGINE MAARUFU WALIO NDANI YA MFUNGO WA MWEZI WA RAMADHANI



Nuri Sahin - Mchezaji wa Real Madrid na Uturuki

Bilali Ahmed maarufu kama Frank Ribery akiwa na mchezaji Hamit Altintop walipoenda Makka

Samir Nasri na utukutu wake wote mwezi huu yupo ndani ya mfungo

Karim Benzema

Hatem Ben Arfa - Kiungo wa Newcastle na Ufaransa nae nafunga mwezi mtukufu wa Ramadhani

Mesut Ozil - Raia wa Ujerumani mwenye asili ya Uturuki

Samir Khedira - Raia wa Ujerumani mwenye asili ya Tunisia.
Abdulsalaam Bilal maarufu kama Nicolas Anelka akiwa na mashekhe alipoenda hijja huko Makka

Bilal Abidal - maarufu kama Eric Abidal akisoma Quran akiwa kwenye ndege wakati akiwa na timu ya taifa ya Ufaransa mwaka jana.

Anaitwa Ibrahim Affelay mchezaji wa kimataifa wa Barcelona na Uholanzi


HII NI VIDEO INAYOMUONYESHA THIERRY HENRY AKITHIBITISHA KUBADILI DINI NA KUWA MUISLAM AKIFUATA MFANO WA RAFIKI ZAKE ANELKA, NA ABIDAL
shaffihh dauda

No comments:

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...