Tuesday, December 27, 2011

KAFULILA KUENDELEA KUWA MBUNGE

Mahakama kuu ya Tanzania muda mchache uliopita imetoa amri ya kumruhusu mbunge wa kigoma kusini mh David Zacharia Kafulila kuendelea kuwa mbunge mpaka hapo kesi yake ya msingi ya kupinga kuvuliwa uanachama itakapokwisha.
mahakama hiyo imetoa uamuzi huo huku vyombo mbalimbali vya habari vikiwa katika hali ya kuripoti utata wa hatma ya kafulila. 

No comments:

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...