Monday, December 26, 2011

LEO NI BOXING DAY: FACEBOOK YACHUKUA NAFASI KUBWA BADALA YA WATU KUpelekeana zawadi.

Baada ya pilikaplilka za marufuriko jijini D ar es salaam ikiwa na sherehe za sikukuu ya kuzaliwa kwa Yesu Kristu leo ni siku maalum ya kupelekeana zawadi kwa wale wanaopendana na kujaaliana siku inayokwenda kama Boxing day kwa lugha ya magharibi.

No comments:

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...