Monday, January 2, 2012

ADO YAPANGA MIKAKATI YA KUSAIDIA JAMII 2012

mmoja wa wadau waanzilishi wa blog hii Bw. habib mchange akizungumzia mpango mkakati wa blog katika kuukaribisha mwaka mpya wa 2012 na kusisitiza mikakati mbalimbali muhimu kwa ajili ya kufanikisha malengo ya ASASI yanafikiwa kama yalivyopangwa.

No comments:

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...