Thursday, June 21, 2012

MBOWE AUNGURUMA BUNGENI.


MBOWE, PINDA WACHUANA BUNGENI.

                                                          mbowe aiwa na zitto bungeni.
 mbowe akijadili jambo na waziri mkuu pinda nje ya bunge

Ni kuhusu mgomo wa madaktari.

Mbowe alitaka kujua atma ya watanzania juu ya mgomo uliotangazwa kuanza jumaamosi ijayo.

Watanzania sasa matumbo joto juu ya mgomo huo.

Panda awasihi madaktari, na kusema ikishindikana serikali itakimbilia mahakamani kutafuta suluhu.

No comments:

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...