Tuesday, June 5, 2012

OBAMA AMTEUA BILL CLINTON KUCHANGISHIA PESA


rais wa marekani ambaye pia anagombea kwa mara ya pili urais wa nchi hiyo kupitia chama cha DEMOCRATS amemteua rais wa zamani wa nchi hiyo bw Bill Clinton kuwa mchangishaji wake wa pesa za kampeni katika uchaguzi unaotarajiwa kufanyika baadae mwaka huu.

No comments:

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...