Monday, August 6, 2012

M4C SASA YATUA LONDON


Mkutano Wa Chadema London

M4C LONDON
CHAMA CHA DEMOKRASIA NA MAENDELEO CHADEMA KINAPENDA KUWATANGAZIA WATANZANIA WOTE WAISHIO LONDON NA SEHEMU ZA JIRANI KUWA KUTAKUWA NA MKUTANO WA UFUNGUZI WA TAWI LA CHADEMA LONDON. TAWI AMBALO LITAFUNGULIWA NA MHESHIMIWA GODBLESS LEMA
UFUNGUZI HUO UTAFANYIKA THATCHED HOUSE PUB ILIYOPO BARKING SIKU YA JUMANNE 07/08/2012  AT 20:00 SAA MBILI USIKU.
KATIKA MKUTANO HUO PIA WATACHAGULIWA VIONGOZI MBALI MBALI WA CHADEMA  TAWI LA LONDON .
TUNAWAOMBA WANA CHADEMA WOTE WAJITOKEZE KWA WINGI KUJA KUHUDHURIA TUKIO HILI LA KIHISTORIA.
Venue ; Thatched House Pub
RIPPLE ROAD, BARKING, ESSEX, IG11 9PGKwa maelezo zaidi wasiliana na CHRIS LUKOSI 07903828119

2 comments:

Philbert Ngatunga said...

Kamanda Lema, nakutakia kazi njema. Ukirudi tuendelee huku Songea tuna hamu sana ya kupewa ujumbe wako.

Unknown said...

Kamanda Lema CCM wanajuta kupinga Ubunge wako manake sasa ungekuwa bungeni usinge amsha watu namna hii Kazi nzuri sana Mkuu komaa.

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...