Thursday, August 2, 2012

DKT.MWAKYEMBE- MARUFUKU KUCHIMBA DAWA BARABARANI

Serikali kupitia waziri wa uchukuzi mheshimiwa harryson mwakyembe ametangaza leo jioni hii kuwa ni marufuku kwa gari yoyote kusimama barabarani na kuwaacha abiria wachimbe dawa(kujisaidia). tangazo hilo linaanza kazi rasmi tarehe moja mwezi wa tisa.

No comments:

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...