Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akizungumza na Mbunge wa Kalenga na
Waziri wa Fedha , William Mgimwa kwenye viwanja vya Buge Mjini Dodoma
Agust 7, 2012.(Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
BAADHI YA WANAFUNZI WA SHULE YA SEKONDARI YA LA MARIAM GIRLS WAKISIKILIZA KWA MAKINI WAKATI WA MAJADILIANO YA BUNNGE WALIPOPATA NAFASI YA KUINGIA BUNGENI MJINI DODOMA LEO |
WAZIRI WA NCHI ,OFISI YA RAIS ,ASIYE NA WIZARA MAALUM ,PROF.MARK JAMES MWANDOSYA AKITOKA NJE YA BUNGE NA KUWA NA MAZUNGUMZO NA MBUNGE DEO FILIKUNJOMBE (CCM) KWENYE VIWANJA VYA BUNGE MJINI DODOMA LEO. |
WAZIRI MKUU MSTAAFU WA ZAMANI MHE. EDWARD LOWASSA AKIZUNGUMZA NA MAMISS WALIOPITA, KUSHOTO NI FARAJA KOTA(MRS. NYALANDU) NA NANCY SUMARI WALIPOPATA NAFASI YA KUTEMBELEA BUNGE MJINI DODDMA LEO |
WAANDISHI WA HABARI WA VYOMBO VYO HABARI WAKIRIPOTI HABARI ZA BUNGE MJINI DODOMA. |
No comments:
Post a Comment