Friday, December 30, 2011

KIPINDUPINDU CHAVAMIA KAMBI YA WAHANGA WA MAFURIKO HANANASIF




wakati wahanga wa mafuriko wakilalamikia kuchakachuliwa kwa misaada wanayopewa na wadau mbalimbali. 
kumetokea mlipuko wa ugonjwa hatari wa kipindupindu  katika kambi ya Hananasif wilayani kinondoni ambapo mpaka sasa watu wanne wamethibitishwa kuugua ugonjwa huo mpaka kufikia leo mchana.
source mdau-ADO

No comments:

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...