Saturday, March 31, 2012

"Siku ya mwisho ya kuhakikisha ushindi Arumeru na kata 7 nchi nzima.

Zitto Kabwe anasema: "Siku ya mwisho ya kuhakikisha ushindi Arumeru na kata 7 nchi nzima. Nafunga kampeni Kirumba, Mwanza kuhakikisha twashinda Udiwani na kuendelea kulishika jiji la Mwanza. Twafunga kazi Arumeru leo na kujihakikishia Mbunge wa 49 wa CHADEMA"

No comments:

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...