Sunday, July 8, 2012

LIVE MECHI YA WABUNGE WA SIMBA NA WABUNGE WA YANGA;-Kitambi noma

  kiungo mchezeshaji wa wabunge wa simba zitto kabwe ambaye pia ni mbunge wa kigoma kaskazini aliyecheza namba nane akipasha misuli moto.
    dakika chache kabla ya mechi, mbwa nao walionyesha utaalam wao
    kitambi noma jamani daahhhh
   tutashinda kweli kwa hali hii?
  kikosi cha simba hicho.
  wimbo wa taifa hapo.
                                   wimbo wa taifa.

                tusichezeane rafu bwana.fair play tu hapa
   golikipa wa wabunge wa simba iddi azan akiwa mbele kabla ya kuzikanyaga nyasi.
    watazamaji wakipata burudani ya aina yake
                     Leo ndio leo. mbunge raya ibrahim akisalimiana na mwenzie kabla ya mchezo kuanza
    Halima mdee na wabunge wengine wakitazama mchezo kwa makani-BENCHI LA YANGA
   mshambuliaji wa wabunge wa yanga mwigulu nchemba akifanya mahojiano baada ya kichapo
                       tutakiane kila la heri
                         namna gani pale enka imembana mchezaji wa yanga.
    gooooooooo tumeshindaaaa zitto kabwe akishangilia kwa furaha na wenzake baada ya penalti ya mwisho
                         dogo janja amebebwa juu baada ya kuokoa penalti 3.
       Dogo janja na kibajaji kama waanashtua kijoti vile.
        ushindi mtamu bwana. we acha tu.
                                     Hapa kiduku kimenoga baada ya ushindi.


No comments:

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...