Thursday, August 2, 2012

OKWI AULA ULAYA.

Okwi...!

Kuna taarifa kuwa Emmanuel Okwi amefuzu majaribio yake ya kucheza mpira katika timu ya FC Red Bull Salzburg ya Austria na inasubiriwa majadiliano ya uhamisho wake na Klabu yake ya sasa Simba Sports Club. Bado haijajulikana Simba watavuta dau gani kutokana na kumuuza Okwi tutakujulisha habari zaidi zikipatikana.

No comments:

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...